Pages

Hamilton ashinda tena huko Russia

Hamilton ashinda tena huko Russia

Hamilton ashinda tena huko Russia Dereva wa Mercedes Lewis Hamilton aliibuka mshindi wa mkumb...

0 Comments
Urusi yafanya mashambulizi zaidi Syria

Urusi yafanya mashambulizi zaidi Syria

Ndege za Urusi zimefanya mashambulio zaidi nchini Syria. Msemaji wa jeshi la Urusi, alieleza kuwa ndege zao zimefanya mashambulio 20 k...

0 Comments
RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA

RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA

Katika michuano ya leo,Crystal palace inakabiliana na WEst Brom Wich Albion nayo Aston Villa ikiialika Stoke City.Mancity nayo itamenyan...

0 Comments
Wafungwa watoroka gerezani mjini Bangui

Wafungwa watoroka gerezani mjini Bangui

Mamia ya wafungwa katika Gereza moja nchini jamuhuri ya Afrika ya kati wametoroka wakati ambapo kumekuwa na machafuko yaliyosababisha ...

0 Comments
Majeraha yamuandama Sharapova

Majeraha yamuandama Sharapova

Nyota wa tenesi Maria Sharapova ameendelea kuandamwa na majeraha baada ya kuumia kwenye michuano ya wazi ya Wuhan huko China. Sharapova...

0 Comments
Kriketi: Kocha wa West Indies atimuliwa

Kriketi: Kocha wa West Indies atimuliwa

Timu ya Kriketi ya West Indies imemtimua kocha wake mkuu Phil Simmons baada ya kushutumiwa kuchagua timu vibaya. Simmon mwenye umri wa...

0 Comments
Epl: Everton yaitambia West brom

Epl: Everton yaitambia West brom

Klabu ya soka ya Everton imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya West Bromwich Albion katika mchezo wa ligi kuu ya England. West Bro...

0 Comments